资讯

Utafiti wa mwaka 2022 uliofanywa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuhusu ‘Ustawi wa Kisaikolojia kwa Wanafunzi wa Diploma’ ...
Ukurasa mpya wa siasa za mbunge wa zamani wa Kisesa, Mkoa wa Simiyu, Luhaga Mpina unatajwa kufungukia katika Chama cha ACT- ...
Jaji wa shirikisho Arun Subramanian amekataa ombi la dhamana la Sean "Diddy" Combs katika uamuzi mpya uliotolewa mapema jana Jumatatu, Agosti 4,2025.
Arusha. Tafakari yangu ya leo itajikita katika mawazo ya watu wawili ambao ni Muft Ismael Menk na mwanamama Louise de Marillac. Muft Menk amesema: ‘’Moyo wangu una thamani hivyo kwamba hauwezi kuipa ...
Samia, ambaye ni Rais na mwenyekiti wa CCM alipitishwa na Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, Januari 19, 2025 kuwa mgombea wa urais kupitia chama hicho.
Chama cha Mapinduzi (CCM) leo kinatarajiwa kutangaza matokeo ya kura za maoni za wagombea ubunge katika majimbo mbalimbali ...
KWA mujibu wa tetesi za usajili nchini Ufaransa, inaelezwa mshambuliaji wa Kitanzania, Mbwana Samatta yuko kwenye hatua za ...
Mfumo huo umeanzishwa ili kurahisisha upokeaji wa taarifa kutoka kwa wananchi, wafanyakazi wa Tanesco na wadau wengine kuhusu ...
Dar es Salaam. Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF) imekamilisha mchakato wa kuwahoji watiania wa urais wa Jamhuri ...
Washtakiwa wanakabiliwa na mashtaka mawili ya kusafirisha dawa za kulevya, kosa wanalodaiwa kulitenda Aprili 16, 2024.
Amewataka wanahabari kuzingatia weledi na maadili ya taaluma yao, huku akisisitiza umuhimu wa kuepuka habari zinazoweza ...
Makubaliano hayo yanaashiria dhamira ya pamoja ya pande zote mbili katika kuendeleza simulizi zenye mwelekeo wa kutekeleza ...