资讯

Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Bukoba Mjini, Shabani Mdohe ametangaza kura za maoni ambapo amewataja wengine ...
Kwa upande wake, Mhifadhi Mkuu Ugani na Uenezi TFS Kanda ya Mashariki ,Shabani Kiulah, amesema kuwa wakala huo umekuwa mstari ...
ARUSHA: WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Wakuu wa Taasisi za Kupambana na Rushwa wa Jumuiya Maendeleo ya Kusini ...
DAR ES SALAAM: Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umetoa wito kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuhakikisha ...
BARAZA la Ushindani (FCT) limeagizwa kutafakari kwa kina maamuzi ya mashauri ya rufaa yanayogusa maisha ya watu kwa maslahi ya ustawi wa jamii na taifa kwa ujumla ambayo yanaweza kubadili mwelekeo wa ...
Nao wahanga wa ugonjwa huo wa kifafa Omary Vadenga na Elias Manade wamesema taasisi hiyo ina mchango mkubwa kwao kwani ...
IRINGA: Mjumbe wa Kamati Kuu (MCC) ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Salim Abri Asas, ametoa ...
Mkutano wa 45 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umeanza leo Agosti 04, 2025 jijini ...
ARUSHA: Mbio za Nishati Safi ya Kupikia zimemalizika jijini Arusha zikiwa na lengo la kuhamasisha, kutoa elimu na mafunzo juu ...
Naye Seleboni Mushi Mkurugenzi Msaidizi Maendeleo ya Misitu Wizara ya Misitu na Utalii amesema maadhimisho ya mikoko ...
GEITA: AJENDA ya kuanzishwa kwa halmashauri mpya katika jimbo jipya la Katoro wilayani Geita imeonekena kutawala sera za watia nia wa nafasi ya ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).