资讯

UONGOZI wa Tabora United uko katika mazungumzo ya kuachana na aliyekuwa kipa wa kikosi hicho, Mgaboni Jean-Noel Amonome, ...
MOHAMED Bajaber ni mali ya Simba, ambapo winga huyo ametua kikosini hapo kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Kenya Police FC ...
KIUNGO mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Feisal Salum 'Fei Toto' amesema ni fahari kwa kikosi hicho ...
TIMU ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars, imeanza vyema Fainali za Ubingwa wa Afrika kwa Wachezaji wa Ndani CHAN, baada ya ...
KOCHA mpya wa Yanga, Romain Folz ni miongoni mwa watu waliofika katika Uwanja wa Mkapa kushuhudia mchezo wa ufunguzi kati ya ...
KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Hemed Suleiman 'Morocco', amesema ushindi wa kwanza wa timu hiyo wa michuano ya CHAN umetoa mwanga ...
UKITAJA majina ya mastaa waliowahi kuichezea timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ na Ligi Kuu Bara kwa mafanikio huwezi kumuacha Mrisho Ngassa ambaye alishiriki katika fainali za Mataifa ya Afrika ...
KUELEKEA katika mchezo wa kundi A ya mashindano ya CHAN 2024 kati ya timu ya taifa ya Kenya dhidi ya DRC Congo, Polisi nchini ...
DAKIKA chache kabla ya mchezo wa ufunguzi kati ya wenyeji Tanzania dhidi ya Burkina Faso uliofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa ...
RAIS wa Kenya, William Ruto ameongeza hamasa kwa timu ya taifa ya nchi hiyo (Harambee Stars) akiahidi bonasi ya Sh600 milioni ...
WAKATI ikibakia saa chache kabla ya kushuhudia mechi ya ufunguzi wa michuano ya Fainali za Ubingwa kwa Mataifa ya Afrika ...
HABARI ndo hiyo. Newcastle United imekataa ofa ya kwanza ya Liverpool kwa ajili ya mshambuliaji wao Alexander Isak.