News

Arusha. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Bukoba imebatilisha na kufuta adhabu ya kifungo cha maisha jela waliyohukumiwa washtakiwa ...
Benki ya NMB imekutana na wafanyabiashara wakubwa 120 wa Mkoa wa Mwanza na kuwahakikishia uwezo wa kupata mikopo mikubwa.
Unguja. Wakati matumizi ya Akili Unde (AI) yakiendelea kushika kasi duniani, wasaidizi wa sheria kisiwani hapa wametakiwa ...
Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa Agosti Mosi, 2025 na Wizara ya Afya ya Gaza, Wapalestina wapatao 60,249 wameuawa katika ...
Wakazi hao wamedai kuwa maisha yao yapo hatarini kutokana na kukithiri kwa fisi na nyani ambao wamekuwa wakiingia kijijini ...
Kauli ya Morocco, inajiri baada ya timu hiyo kuanza vyema michuano ya CHAN kufuatia kuifunga Burkina Faso mabao 2-0, katika ...
Kuandaliwa kwa semina hiyo hapana shaka ndio mwanzo rasmi kwa Yanga kujiandaa na msimu mpya wa 2025/2026 ambao itakuwa na ...
Kuishi na wakwe wakorofi ni changamoto halisi inayowakumba wanandoa wengi. Hata hivyo, kwa kutumia mbinu kama kuweka mipaka, ...
Kinababa wengi wanaamini kwamba wao jukumu lao ni kutunza familia na sio kulea watoto wao.
Maisha ya binadamu hupitia hatua mbalimbali tangu kuzaliwa hadi utu uzima. Katika hatua hizi, mafanikio au changamoto ...
Na huu ndio uchaguzi ulioweka alama muhimu katika mwelekeo mpya wa siasa za Tanzania kufuatia kurejeshwa kwa mfumo wa vyama ...
Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa Agosti Mosi, 2025 na Wizara ya Afya ya Gaza, Wapalestina wapatao 60,249 wameuawa katika vita vya Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza tangu Oktoba 2023.